Mito ya pamba yenye ubora na kiwango cha juu zaidi Bei ya ctn sh 100,000 Pc25 Kwa pc1 sh 5,000
Mito 2 katika moja, laini na nzuri kwa usingizi. Zinafanya kazi nzuri kwa kila aina ya kulala.
Mito ya teknolojia ya kisasa, inasaidia shingo na kichwa. Inafaa kwa wenye maumivu ya mgongo.
Mito ndogo kwa watoto, laini na salama. Zina rangi za kuvutia na za kuchekesha.